PATA HABARI/MAKALA ZA UHAKIKA

+255-767-402-396

Picha za Baraza la Waangalizi Dodoma(UDOM) 2017

Askofu Mkuu wa TAG, Dk. Barnabas Mtokambali Sehemu ya Wajumbe wa Baraza la Waangalizi TAG - (UDOM) Sehemu ya Wajumbe wa Baraza l...
Read More

Everton wajiweka nafasi nzuri Europa League Everton wamejiweka katika nafasi nzuri hatua ya makundi kufuzu kwa kombe la ligi ndogo ya klabu Ulaya, Europa League. Wamewabamiza Hajduk Split bao mbili kwa bila ijapokuwa mechi ililazimika kusimama kwa dakika kadhaa kutokana na vurugu za mashabiki. Katika dakika ya 33 ya mchezo, mashabiki wa Hajduk walisogea uwanjani na kurusha vitu. Meneja wa Everton Ronald Koeman amesema amesikitishwa na tukio hilo ingawa hakujua ni nini kimetokea. Dakika tatu kabla ya vurugu kutokea Michael Keane alikuwa amewachapa bao la kwanza, na mara baada ya kutuliza vurugu zao Idrissa Gueye akawachapa la pili dakika ya 45. Katika mechi nyingine, Ajax wamekutana na changamoto baada ya kubamizwa goli moja bila na Rosenborg kutoka Norway. Mwezi May Ajax walipigwa na Manchester United kisha wakampoteza meneja wao Peter Bosz aliyetimkia Borussia Dortmund na pia Captain wao Klaassen akenda zake Everton.

Everton wamejiweka katika nafasi nzuri hatua ya makundi kufuzu kwa kombe la ligi ndogo ya klabu Ulaya, Europa League. Wamewabamiza...
Read More

Manchester United wanawinda kumsajili kiungo wa Monaco Thomas Lemar

Manchester United bado wana matumaini ya kukamilisha usajili wa Ivan Perisic. Tottenham wamefikia makubaliano ya kimsingi ya kumsajil...
Read More

Wanafunzi watatu wa Lucky Vicent wapata mapokezi makubwa Moshi

Wanafunzi watatu wa Shule ya Lucky Vincent walionusurika katika ajali na kwenda kutibiwa Marekani wamerejea nchini na kupata mapokezi...
Read More

WAZIRI WA JPM AGUSWA NA MIKAKATI WA TAG KWA TAIFA

·       Ni katika  kwa watoto na vijana  hapa nchini ·       Ni wakati wa mapambano ya Haleluya na Yanga ·       Askofu Dk. Mtokambal...
Read More

UVCCM WAITUMBUA CHADEMA WADAI WANASIASA ZA MAIGIZO BAADA YA KUSHINDWA KUFANYA OPERATIONI UKUTA

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), umewavaa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kile wa...
Read More

WAZIRI MKUU AKWAMA KUHAMIA DODOMA

SERIKALI Mkoa wa Dodoma imesema Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa atahamia rasmi mkoani humo mara baada ya kumalizika kwa vikao...
Read More

HII HAPA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI

Ofisi ya Rais -TAMISEMI inatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya Pili (Secon...
Read More

SOMA HABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO IJUMAA YA SEPTEMBA 2, IKIWEMO YA MAGUFULI KUCHAPA NOTI MPYA

SOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Ijumaa ya Septemba 2, Ikiwemo ya Magufuli Kuchapa Noti Mpya ...
Read More