Manchester United bado wana matumaini ya kukamilisha usajili wa
Ivan Perisic.
Tottenham wamefikia makubaliano ya kimsingi ya kumsajili
Davinson Sanchez, 21, kutoka Ajax kwa pauni milioni 28 na milioni 14 zaidi kama
marupurupu. (Independent)
Manchester City wapo tayari kuwapa West Brom pauni milioni 22
ili kumsajili nahodha wao Jonny Evans, 29, baada ya dau la pauni milioni 18
kukataliwa, na watampa mara mbili ya mshahara wa pauni 75,000 kwa wiki
anaolipwa sasa.
0 comments:
Post a Comment