PATA HABARI/MAKALA ZA UHAKIKA

+255-767-402-396

Rais Kiiwete awasili Addis Ababa Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa viongozi wa Umoja wa Afrika


Friday, July 13, 2012


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole jijini Addis Ababa Ethiopia kuhudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi wa Umoja wa Afrika AU leo jioni.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jijini Addis Ababa Ethiopia kuhudhuria mkutano wa 19 wa  wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo jioni.Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe.Joram Biswaro(picha na Freddy Maro)
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments: