Wanafunzi watatu wa Shule ya Lucky Vincent walionusurika
katika ajali na kwenda kutibiwa Marekani wamerejea nchini na kupata mapokezi
makubwa katika uwanja wa ndege wa KIA Moshi.
Wanafunzi hao ni
Sadia Ismail, Dorene Mashana na Wilson
Tarimo walikwenda kutibiwa kwa msaada wa
Shirika la Samaritan iliyoko Marekani kwa ushirika wa Waziri Lazaro Nalandu
Ajili hiyo ilitokea mei sita mwaka huu eneo la Lotya mkoa wa
Arusha. Katika ajali hiyo wanafunzi 32, walimu 2 na dereva mmoja walipoteza
maisha.
0 comments:
Post a Comment