PATA HABARI/MAKALA ZA UHAKIKA

+255-767-402-396

WAUMINI WAWILI WA KANISA LA SOLOAMU WAFA WAKIBATIZWA

Waumini wawili wa kanisa la Soloamu, wamekufa maji wakati wakiwa kwenye ubatizo huko wilayani Romboa, Mkoani Kilimanjaro.
Imeelezwa kuwa watu hao walikufa maji baada ya mwenzo mmoja kupandisha mapepo na kuwatumbukiza wenzake wawili ndani ya kisima chenye kina kirefu na kupoteza maisha kwakushindwa kujiokoa.
Tukio hilo la kusikitisha limdetokea katika mto Ungwasi ambapo Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo, amesema waliofariki ni wa kanisa hilo la Siloam.
Taarifa zilizosambaa zinasema watu hao walifariki baada ya mmoja wao kupandisha mapepo ambapo mpaka sasa Jeshi la Polisi Kilimanjaro linawashikilia watu watatu akiwemo Mchungaji wa kanisa hilo,
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments: