Umaarufu wa aliyekuwa mpiganaji wa ubaguzi wa rangi wa Afrika
Kusini hayati Nelson Mandela unapokelewa na wachambuzi mbalimbali wa mambo kwa
mitazamo tofauti. Wapo wale wnaosema kuwa umaarufu wake unatokana na kazi kubwa
aliyoifanya wa kukubali kuutoa uhai wake kwa ajili ya watu weusi pale
alipopigana kufa na kupona kutetea haki za watu weusi jambo lililompelekea
aende jela kwa takribani miaka 27.
Lakini wengine wanadai kuwa umaarufu wake umetokana na
kujiunga kwake na kundi hatari la Freemaso, amabpo kwakuthibitisha hilo
zimeoneshwa baadhi za picha zilizoashiria kuwa mpambanaji huyo alikuwa na
mshirika wa kundi hilo la Freemason.
Kwa sehemu mawazo yote yanakubalika, na yanaonekana kuwa yana tija ndani
yake.
Hebu
tuangalie baadhi za picha na matukio ambayo inadaiwa kumhusisha Mandela na kundi
hilo la Freemason.
Fellowship of Nelson Mandela and FreemasonThe popularity of the former apartheid fighter of the late South Africa Nelson Mandela is received by different analysts with different perspectives of things. There are those wnaosema that its popularity is due to the great work which he had made to accept lay down his life for black people when he fought life and death to defend the rights of black people go to jail for something lililompelekea nearly 27 years.But others argue that its popularity has arisen to join him and a group of Freemaso risk, amabpo kwakuthibitisha some of the pictures that are shown zilizoashiria a fighter he was a member of the group of Freemason. In part, all ideas are accepted, and seems to be made up in its productivity.
Let's look at some of the images and events that allegedly involve Mandela and the group of Freemason.
0 comments:
Post a Comment