PATA HABARI/MAKALA ZA UHAKIKA

+255-767-402-396

Kilimo cha Letuce kisicho tumia dawa.

Kilimo cha Saladi ni moja ya kilimo cha mbogamboga aina ya kabichi ambacho wengi hawakijui na hawakithamini hii ni tofauti na mataifa yaliyo endelea, ambao wao hutumia muda mwingi kufikiri namna ya kutunza afya zao.wakati huu twaweza kujiuliza kuwa niwangapi wenye uwezo wa kupanda saladi heka tano au kumi huku afrika? jibu ni wachache sana, lakini nisizunguke sana labda nikukaribishe katika mifumo ya kilimo cha pekee ambacho hakina madawa wala magonjwa nacho ni kilimo cha saladi au (Letuce) kilimo hichi huinua wengi wenye malengo na kuwapa kipato hata kwako yawezekana kama ukitaka
waweza wasiliana namikupitia simu 0656999965 upate maelezo zaidi
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments: