Jengo la ghorofa 16 mtaa wa Hindilagandi, jirani na hospitali
ya Ibrahimu Haji, Msikiti wa Ishra Haji, lililokuwa likiendelea kujengwa limedondoka na kufunika
watu wasiojulikana idadi hadi sasa. Inasadikika kuwa Watu wawili wamepoteza
maisha, na17 kujeruhiwa’
|
Moja ya gari lililofunikwa na kifusi likiwa bado halijaokolewa |
Shughuli za uokoaji bado zinaendelea. Hali ni
tete, Wanajeshi 500 wa JWT na JKT 500, wamwagwa kuokoa jahazi, japo vifaa vya
uokoaji bado ni duni. Waliofunikwa na kifusi waomba msaada kupitia simu zao za
mkononi. Washindwa kuokolewa, baadae simu zao zaita bila kupokelewa. Vilio vya
tawala.
|
Baadhi ya watu waliopoteza ndugu zao wakihuzunika |
|
Vyombo vilivyotumika wakati wa uokoaji kusoma kifusi cha ghorofa 16 |
|
UOKOAJI UNAENDELEA |
|
Hivi ndivyo uokoaji ulivyokuwa Picha zote na Joseph Ongong'a |
0 comments:
Post a Comment