Nyakati tulizonazo tunakabiliana
na changamoto nyingi sana, kama vile: Za kifamilia, kazini, kiuchumi, za
kisiasa, kiroho nk. Askofu Dr. Rejoice Ndalima akisaidiwa na Mwinjilisti
Azizi Daudi Mhukula watakuletea ujumbe wa
Neno la Mungu utakaokuinua akili yako, moyo wako na roho yako na kukusaidia
kukabili changamoto zote za kila siku. Huduma hizi ni kwa wateja wa tigo, voda
na airtel. Jisajili kwa kuandika N halafu #kisha jina lako moja tu ( jina la
kwanza) kisha tuma kwenye number 15511 Mfano N#Michael halafu natuma 15511 (Unapoandika N# jina usiache nafasi). SMS
ni shs120 tu. HUDUMA
HII ITAANZAA RASMI TAREHE 24 MARCH NA KUENDELEA MWAKA 2013.Tafadhali ujumbe
huu wajulishe na wengine. 2Wafalme 7:9.Uwe na Baraka tele. Askofu Dr. Rejoice
Ndalima.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment