PATA HABARI/MAKALA ZA UHAKIKA

+255-767-402-396

WAZIRI CHRISTOPHER ASHANGAA NDEGE KUUZWA 500,000/=

WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika,Mhandisi Christopher Chiza jana alishikwa na butwaa, pale alipopewa taarifa ya kuuzwa ndege tatu za Serikali, ambazo zilikuwa katika Kituo cha Kilimo Anga kwa kiasi cha Sh500,000 kwa kila moja.
Ndege hizo, tatu  zilikuwa zikitumika katika udhibiti wa wadudu waharibifu wa mazao .
Akisoma taarifa ya kituo hicho mbele ya Waziri Chiza, Mhandisi Mkuu wa Ndege wa kituo hicho,Gideon Mugusi,alizitaja ndege hizo kuwa ni 5H-MRN, Cessna 185 nyingine ni 5H-MRF, Cessna 185 na nyingine aina ya  5H-MRP piper Super Cub ambazo zilianguka katika vipindi tofauti.
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments: