Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wapili kushoto akipata
maelezo mafupi kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Agape Association LTD Dr
Vernon Fernandes wakwanza kuli kuhusiana na Chanall za Dijitall
zinavyofanya kazi,baada ya Rais kufungua Kituo Kikuu cha Kurushia
matangazo ya Dijitall hapo Rahaleo Mjini Zanzibar.wapili kulia ni Waziri
wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk.
0 comments:
Post a Comment