Christ Ambassadors |
Randy Gilbert toka USA |
Je! unatafuta
uhusiano na Mungu?
Je,
unahitaji uponyaji katika mwili wako? Njoo kwenye
Mkutano wa wokovu na uponyaji
Jumatano octoba tarehe 31 mpaka tarehe 4
Novemba 2012
Uwanja wa Biafra, Kinondoni Dar Es
Salaam,Tanzania Saa 9 Alasiri mpaka saa 1
jioni kila siku
Mhubiri wa
kimataifa Randy Gilbert toka USA atahubiri na kuwaombea wote wenye mahitaji
Waimbaji:
Christ
Ambassadors toka Kenya na kwaya zingine nyingi zitaimba
Njoo
ujiunganishe na Mungu na akutane na mahitaji yako yote. Utapata tumaini!
Mungu
anabadilisha maisha!
Mkutano
umefadhiliwa na Faith Landmarks Ministerial Fellowship na contact TV kwa
kushirikiana na ushirika wa wachungaji Dar Es Salaam. Piga Simu No. 0716 855 123
0 comments:
Post a Comment