BAADHI YA WATU WALIOAMUA KUTEMBE KWA MIGUU BAADA YA KUKOSA USAFIRI, MBAGALA JIJINI DAR ES SALAAM |
ABIRIA WAKISUBIRI USAFIRI BILA MATUMAINI, KAMA WALIVYONASWA NA KAMERA YA J & M WAMOJA, HIVI KARIBUNI. |
KUTOKANA NA TATIZO LA USAFIRI MBAGALA ILIYOSABABISHWA NA MATENGENEZO YA BARABARA YA KILWA, BAADHI YA WATU HULAZIMIKA KUTUMIA LORI ZA WATU BINAFSI KUSAFIRIA.( PICHA NA JOSEPH H. ONGONG'A) |
0 comments:
Post a Comment