BAADHI YA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM, MBAGALA WWILYA YA TEMEKE, WALIVYOKUTWA NA KAMERA YA J &M; WAMOJA, WAKITAFUTA MAJINA YAO KATIKA OFISI ZA SERIKALI ZA MITAA YA MBAGALA MIANZINI. BAADHI WALISIKIKA WAKILAUMU UTARATIBU WA UBANDIKWAJI WA MAJINA HAYO KUWA HAYAKUFUATA MTIRIRIKO WA HERUFI. (PICHA NA J &M;WAMOJA)
0 comments:
Post a Comment