Bi. Kidude |
Bi. Kidude afariki dunia
Bi. Kidude afariki.
Masanii marufu wa Taarabu hapa nchini Fatuma
binti Baraka, marufu kama Bi. Kidude amefariki dunia leo huko BUBU ZANZIBAR akiwa na ZAIDI YA MIAKA 90, anatarajia kuzikwa kesho majira ya kitunda
mjini unguja
0 comments:
Post a Comment