PATA HABARI/MAKALA ZA UHAKIKA

+255-767-402-396

Rais Kikwete azindua bara bara za mabasi yaendayo kasi.


Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo ya ujenzi wa mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam, kutoka kwa mtaalamu wa DART.


     Rais Jakaya Kikwete na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi, Philippe Dongier, wakizindua ujenzi wa barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi (DART) na ujenzi wa barabara ya Mororogoro, kutoka Kimara - Kivukoni, Kariakoo, meneo ya Jangwani, Dar es Salaam leo.(picha na Ikulu)

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments: