PATA HABARI/MAKALA ZA UHAKIKA

+255-767-402-396

WADHAMINI WAKUMBUKENI NA WENZENU KAMA HAWA ANGALAU JENGO LA KUABUDIA.

WAUMINI HAWA WAKIWA KATIKA IBADA NDANI YA JENGO LAO LA IBADA HUKO MUSOMA VIJIJINI. HATA HIVYO  WANAJIKUSANYA TU SIKU YA JUMAPILI NA KUABUDU HAWAKO CHINI YA MWAMVULI WA DINI YOYOTE. KIONGOZI WAO ALIPOULIZWA NA MPIGA PICHA, KAMA WAKO TAYARI KUJIUNGA NA KUWA CHINI YA MWAMVULI WA DINI YOYOTE WALIKUBALI.. (PICHA NA JOSEPH H. ONGONG'A)

Mmoja wa Viongozi wa Kanisa hilo akitoa matangazo kwa waumini wao. Jambo lisilokuwa la kawaida katika kanisa hilo kila mgeni anayeiingia bila kujali anatoka wapi na ni wa imani gani napewa madhabahu angalau ahubiri kwa siku hiyo, na baadaye ibada inafungwa.


Waumini wa Kanisa la Vijijini huko Musoma  wakiwa nje ya Jengo lao la Ibada, wakidumisha upendo wa kusalimiana mara baada ya Ibada ya Jumapili

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments: