PATA HABARI/MAKALA ZA UHAKIKA

+255-767-402-396

NIKO AMBAYE NIKO STUDIO

Kulia ni mgeni rasmi Askofu wa Kanisa la TAG Jimbo la Mahsriki Kusini,Dk. Lawrence Kametta, Mkurugenzi wa Studio mpya ya NIKO AMBAYE NIKO, Stevene Wambura, Makamu Askofu aliyemaliza muda wa Rogathe Swai, wakijaribisha vyombo ndani ya Studio hiyo wakati walipokuwa wakilizindua

Watumishi wa Mungu wakimwombea Mkurugenzi wa Studio Mpya ya NIKO AMBAYE NIKO, Stephen Wambura, aliyepiga magoti

Mkurugenzi wa Studio hiyo Steven Wambura, wapili kushoto, akiteta jambo na baadhi yawafanyakazi wake

Mkurugenzi wa Studio ya NIKO AMBAYE NIKO, akiomba kwa mzigo wakati wa kuwekwa wakfu kwa studio hiyo




Mgeni rasmi Askofu Dk. Lawrence Kametta, akijaribu kupiga vyombo vya muziki, vitakavyotumika kurekodia katika studio hiyo(Picha zote na Joseph H. Ongong'a)


Share on Google Plus

About Unknown

0 comments: