Mzee kiongozi wa Kanisa hilo Albert Mbwambo, akiwa ndani ya kanisa la Mbagala TAG, akiangalia vitu vilivyoharibiwa na Waislamu hao |
Hili ni kati ya magari io yaliyovunjwa vyoo |
Gari la Mchungaji Joseph Kinyota wa TAG Mtoni Kijichi lililochomwa moto katika kanisa hilo. Kinyota na wachungaji wengine walikutwa wakiwa eneo hilo kwenye kikao, lakini wao walifanikiwa kujificha. |
Baadhi ya magari yaliyo vunjwa vioo |
Kanisa la Tanzania Assemblies of God Mbagala Kizuiani lililovamiwa |
0 comments:
Post a Comment