- ·
Ateta
na Viongozi wa Makanisa hayo !!!!!!!
|
Rais Kikwete |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametembelea makanisa
yaliyoharibiwa na Waislamu, Mbagala jijini na kufanya mazungumzo ya siri na
Viongozi wa makanisa hayo. Taarifa ambazo zimeifikia mtandao huu jioni zilisema
kuwa Rais aliyatembelea makanisa hayo jioni saa kumi na moja na kufanya
mazungumzo mafupi na baadhi ya viongozi wa makanisa hayo.
Je hiyo tu inatosha, matembezi yake yanasaidia nini?
Kwa nini aje kimya kimya? Tena jioni?
Hii inaonesha dalili gani? Kwa Wakristo?
0 comments:
Post a Comment