Mh. Reginald Mengi |
Chama cah kuweka na kukopa cha SACCO S chazinduliwa na Regenald Mengi, jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuwakomboa na kuwaokoa Wahariri wa vyombo vya habari vya serikali na binafsi nchini. Ina wanachama 70 hadi sasa na zaidi ya Tsh. miln 2.
Alisema kila Mhariri anayetaka maendeleo ni lazima ajiulize kwa ajili ya maisha yake. Mengi ailiwataka wahariri kuhakikisha kwamba wanaweka na kukopa Naye Absalom Kibanda, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri naye ameisapoti na kuwataka Wahariri kuichangamkia kwa ajili ya maendeleo yao ya baadae.
HILI NI KWA AJILI YA KUWAKOMBOA WAHARIRI JE NINI HATMA YA WAANDISHI?
0 comments:
Post a Comment