PATA HABARI/MAKALA ZA UHAKIKA

+255-767-402-396

MAANDAMANO YA WAANDISHI WA HABARI KULAANI KUUAWA KWA DAUDI MWANGOSI. WAZIRI NCHIMBI ATIMULIWA NA WAANDISHI

BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI NA WATANGAZAJI, JIJINI DAR ES SALAAM,, WAKIWA WAMEFUNGA MIDOMO YAO WAKIWA NJE YA JENGO LA KITUO CHA TELEVISION YA CHANNEL TEN WAKIJIPANGA KUANDAMANA KULAANI KITENDO CHA POLISI KUMUUA MWANDISHI MWENZAO DAUDI MWANGOSI. (PICHA ZOTE NA JOSEPH HERMAN ONGONG'A)



















Share on Google Plus

About Unknown

0 comments: