Kwa upande wa Mrema yeye amempongeza Rais Magufuli kwa kumchagua yeye kuwa Mwenyekiti wa taifas wa Pa roll. Mrema ambaye ni mwenyekiti wa TLP taifa alisema kuwa yeye anamkubali Rais Magufuli kwa utendaji wake na kuwa anawashangaa wakle wanaompinga. Alisema kuwa kumchagua katika nafasi hiyo amekubali na atahakikisha kwamba yeye ataifanya kwa waledi na kwa uaminifu mkubwa akitanguliza mbele vilio vya wafungwa mahakamani.
UDP - JOHN CHEYO |
John Cheyo naye amewashangaa wapinzani kususia vikao vya Bunge na kuwachukulia kama watu
wasiojua wanachokifanya. Ameataka watu kukiheshimu chama hicho na kuacha kuwavunjia heshima.
FRED MPENDAZOE yeye amesema sababu ya kurejea CCM kuwa ameona mabadiliko ya kweli, yaliyofanywa na Abdalaman Kinana, na ndicho kilichomrejesha CCM.
MGANA MSINDAI |
chama chenye Demokrasia ya kweli kama CCM.
MGANA MSINDAI- Naomba msamaha kwa wakle niliowakosea na wale niliowakosea. Nilikuwa
mwanampotevu na sasa nimerekea tena, Huko nilikokwenda nilisafiri na sasa narejea CCM. Mgana Msindai aliyepitia safari ya Mabadiliko na yeye amerejea CCM, na kuwaponda wenzake huko alikokuwa anasema hajaona chochote, Amesema kuwa ameridhika na utawala wa Magufuli na sasa ametangaza kurejea CCM.
0 comments:
Post a Comment