TAARIFA MUHIMU......WIZI WA KIMATAIFA UMEINGIA
NCHINI,, TAFADHALI,,USIKUBALI KUSHIKWA MKONO NA MTU/WATU USIOWAJUA,,
WANAPOKUSHIKA HUWA NA SINDANO NDOGO ZISIZO ONEKANA KWENYE MIKONO YAO AMBAZO
ZINA MADAWA YA KULEVYA,, HUCHUKUA DK.2 TU KULEWA NA KUJIFANYA WANAKUBEBA NA
KUKUWAHISHA HOSPTALI HUKU WAKIWAAMBIA WATU KUWA NI NDUGU YAO UMEZIDIWA, ILA
UTASACHIWA NA KUIBIWA KILA KITU, KUWA MAKINI, POST KWA UNAOWAJALI TAFADHALI
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment