Waumini wa kanisa lililoko Kijiji cha Mirwa wakiwa nje ya Jengo la Ibada mara baada ya ibada ya asubuhi. Picha na (Mtandao wa ongnga.blogspot.com) |
Mengi ya makanisa yaliyoko vijijini nchini Tanzania bado yako katika hali ngumu ya kukosa mahali pazuri pa kuabudia, kama unavyoona katika picha hiyo ni moja ya makanisa yaliyoko vijijini katika kijiji cha Mirwa, wilayani Musoma vijijini mkaoani Mara. Waumini hawa wanahutaji msaada wa mahali pa kuabudia, kwani wakati wa mvua wanapata shida sana na wakati mwengine hawaabudu kabisa.
0 comments:
Post a Comment